Kwa wale wakazi wa Morogoro: Usikose katika tamasha la KUSIFU na KUABUDU litakalofanyika tarehe 2/02/2014 kanika kanisa la Canaan Christian Centre Morogoro; Muda ni kuanzia saa 7:00 Mchana mpaka saa 12:00 jioni. Mada itakayokuwa ikizungumziwa ni "Maana halisi ya Maisha ya Kusifu na Kuabudu" USIKOSE.
Bofya hapa kututembelea youtube na uangalie video zetu za mafundisho ya Biblia na Ibada zetu
No comments:
Post a Comment